Kwa kawaida, mizunguko ya hedhi hukaa kwa siku nne hadi saba. Kwa mfano matatizo ya mzunguko wa hedhi ni Pamoja na mizunguko ambayo hutokea chini ya siku 21 au Zaidi ya siku 35, ukakosa hedhi siku tatu au Zaidi, na mtiririko wa damu ya hedhi ambayo ni nyingi na ya muda mrefu sana au kutokwa na damu ya hedhi nyepesi kuliko kawaida. Je, Mzunguko Wa Hedhi Wa Kawaida Ukoje? Wanawake wengi wanapata kipindi cha hedhi ambacho huchukua siku nne hadi saba. Kipindi cha hedhi cha mwanamke kwa kawaida hutokea kila siku 28, lakini mzunguko wa kawaida wa hedhi unaweza kuanzia siku 21 hadi 35. Mfano wa matatizo ya mzunguko wa hedhi ni kama hii: Vipindi vya hedhi ambavyo hutokea chini ya siku 21 au Zaidi ya siku 35 Kukosa hedhi vipindi vitatu au mfululizo Kutokwa na damu nyingi ya hedhi au nyepesi kuliko kawaida Kipindi cha hedhi ambacho hukaa kwa muda Zaidi ya siku saba Vipindi vya hedhi ambavyo huambatana na maumivu, kichefuchefu au kutapika Kutokwa na damu ya hedhi mara mbili kwa mwezi au matone y...
Tuna wasaidia wahanga wa magonjwa mbalimbali kupona magonjwa yao kwa kutumia tiba asilia pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu.