Skip to main content

MATUNDA YENYE KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME

 UNAPENDA KUWA NA UUME IMARA? TWENDE PAMOJA HAPA👇



● Endapo mtu mwenye tatizo la Uume mlegevu akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuimarisha mishipa na misuli ya Uume kwa haraka zaidi. Baadhi ya matunda hayo ni;


   1:NDIZI MBIVU/ BANANA


 Ulaji wa ndizi mbivu husaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa kupitia madini yake ya Sucrose, Fructose na Glucose

Ndizi husaidia Mfumo wa Mmengenyo wa Chakula

Unajua kitambi kinasababishwa na nini ni wingi wa mafuta ambayo yapo mwilini yameshindwa kuchanywa vizuri na mfumo wa mmengenyo sasa sikia ndizi inasaidia mfumo wa chakula kufanya kazi yake vizuri na kwa haraka sasa unapokula ndizi inaenda kuongeza nguvu kwenye mfumo huu na mafuta ambayo yanashindwa kutumika mwilini yatatumika kwa kiasi kwenye mfumo huu hivyo kukusaidia kwenye mambo ya kitandani maana mlundikano wa mafuta husababisha Presha inayozuia kufanya vizuri kitandani.

          2:TIKITI MAJI

            

 Tikiti maji tunda hili lenye virutubisho muhimu kama vile Calcium, Magnesium, Carotene na vitamin lukuki ikiwemo A, B6 na C ambavyo kwa pamoja  hutengeneza virutubisho muhimu ambavyo vinasaidia kuboresha mzunguko wa damu hivyo kurahisisha damu kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume.

Ingawa unashauliwa utafune pia pamoja na mbegu zake kupata faida lukuki

3:PARACHICHI/AVOCADO



(3). Parachichi : Huzalisha Vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni zinazochochea kuongezeka kwa uimara wa misuli ya Uume na kuleta msisimko wa hali ya juu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.      

FAIDA ZA KULA PARACHICHI KWA WANAUME.

★Husaidia kuimarisha mfumo wa uzazi kutokana na uwepo wa vitamin E, ambayo hutoa kinga dhidi ya sumu mwilini (Antioxidant) hasa kwa wanaume wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.

★Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa. Hii ni kutokana na uwepo wa nishati, Omega 3 na vitamin B6 ambayo huchochea hisia au hamu ya tendo la ndoa na kuufanya uume kusimama kwa muda mrefu (sex drive, libido booster and longer lasting on bed)

★Huongeza ubora wa mbegu za kiume na kuzifanya ziwe na uwezo wa kutungisha mimba (fertility)

★Husaidia kubalansi (balance) mzunguko wa damu, kutokana na uwepo kwa wingi wa Madini ya potassium hivyo kuzuia shambulio la moyo (heart attack)

★Husaidia mmeng'enyo wa vyakula kuwa mzuri na wenye ufanisi.


● Note; matunda yaliyotajwa hapo JUU! Ni matunda ambayo hayana Gharama Kubwa sana na yanapatikana Kwa wingi sana kwenye jamii zetu, Kwa hiyo ni vyema tukajenga Tabia ya kuyatumia bila kuchoka


Na Ukijenga Tabia ya kuyala Kila siku! Yani Kwa muda wa mwezi mmoja utaona mabadiliko makubwa sana kwenye Uume wako!


● Pia tunajua kwamba dunia imebadilika sana, matunda mengi tunayokula kwenye maisha yetu ya Kila siku Huwa yanaandaliwa kwenye njia Hatarishi kama utumiaji wa mbolea zenye kemikali na utumiaji wa Dawa za kuua wadudu jambo linalopelekea matunda mengi kupoteza Virutubisho asilia!


● Na hii hupelekea Wanaume Wengi kula matunda haya bila Kupata matokeo mazuri tunayo hitaji!


Tanzania

Dar es salaam

Dr Liwaya

0755162724


             đźŚżđźŚżđźŚżMWISHO🌿🌿🌿

Comments

Popular posts from this blog

UGONJWA WA NGIRI AU HERNIA

UGONJWA WA NGIRI AU HERNIA Hernia mara nyingi huwapata wanaume, Wengi waliokumbwa na ugonjwa huu hukosa tiba sahihi na kujikuta wanaangukia kwenye kufanyiwa upasuaji (Operation). Ugonjwa wa ngiri hujitokeza wakati sehemu ya utumbo inapoteleza na kupenya katika kiwambo cha msuli wa utumbo, na kuingia katika kende moja wapo, au sehemu ya juu ya paja. Pia hujitokneza pale kiwambo cha msuli unaotenganisha mapafu na utumbo kinapotoboka na kusababisha majimaji kwenye sehemu ya juu ya utumbo au sehemu ya chini ya mapafu. AINA ZA NGIRI Kutokana na tabia ya ugonjwa wa mshipa wa ngiri kujitokeza katika maeneo mbalimbali ya mwili, kwahiyo aina ya ngiri/Hernia hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza: ▪️ Ngiri maji. -Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele) ▪️Ngiri kavu (Hernia). -Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume ▪️ Ngiri ya kwenye kifua - Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’ ▪️ Ngiri ya tumbo -hujulikana p...

MADHARA YA ZA KUBOOST NGUVU ZA KIUME

JE, KUNA MADHARA YOYOTE KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU KWA MUDA ? (DAWA ZA KOBOOST NGUVU KWA MUDA) Nimekuwa nikipokea swali hili ,"mimi natumia sana dawa kuboost au kunipa nguvu ninapohitaji kwenda kufanya mapenzi. Je, kuna madhara yoyote?." Mwingine anauliza .."samahan mimi nimetumia sana dawa za kunipa hamu wakati wa tendo la ndoa lakini saizi najikuta siwezi kabisa uume hauna nguvu hata nikitumia dawa nilizozoea kutumia bado sipati nguvu, je tatizo nini?" Mwingine huyu hapa, "Kila nikihitaji kufanya sex lazima nitumie mkongo ,au vumbi la kongo. Je wewe una dawa ya kutibu tatizo moja kwa moja mpaka nikawa na nguvu za kiume vizuri niachane na mkongo kabisa?" Jamani hayo hapo ni baadhi tu ya maswali mengi ninayoulizwa, na nimetambua kuwa zaidi ya wanaume 25,000 ambao nawapa elimu hii, idadi kubwa sana wamekumbwa na tatizo hili la uraibu (addiction) wa kutumia dawa za kuboost uwezo wa kufanya sex, wengine wanatumia vidonge vya kizungu kama Viagra, wengine ...

ZIFAHAMU FAIDA MUHIMU ZA ASALI

Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa asali inauwezo mkubwa wa kutibu kama itachanganywa na mdalasini. Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta ya vuguvugu ya mzaituni, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork ambapo mchanganyiko huo unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15. Kwa mujibu wa watafiti wa madawa tiba, Dk Alexander Andreyed na Eric Vogelmann, amesema madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta mwilini yanaweza kudhibitiwa kwa kiasi kikubwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai iliyoungwa kwa kutumia mchanganyiko wa asali na mdalasini. Ugunduzi wao huo, uliyakinishwa vema kwenye jarida mashuhuri linalozungumzia masuala ya tiba la nchini Denmark la Julai 1994. Uchunguzi mwingine pia umeonesha kwa...