Skip to main content

UGONJWA WA NGIRI AU HERNIA

UGONJWA WA NGIRI AU HERNIA


Hernia mara nyingi huwapata wanaume, Wengi waliokumbwa na ugonjwa huu hukosa tiba sahihi na kujikuta wanaangukia kwenye kufanyiwa upasuaji (Operation). Ugonjwa wa ngiri hujitokeza wakati sehemu ya utumbo inapoteleza na kupenya katika kiwambo cha msuli wa utumbo, na kuingia katika kende moja wapo, au sehemu ya juu ya paja. Pia hujitokneza pale kiwambo cha msuli unaotenganisha mapafu na utumbo kinapotoboka na kusababisha majimaji kwenye sehemu ya juu ya utumbo au sehemu ya chini ya mapafu.

AINA ZA NGIRI
Kutokana na tabia ya ugonjwa wa mshipa wa ngiri kujitokeza katika maeneo mbalimbali ya mwili, kwahiyo aina ya ngiri/Hernia hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza:

▪️ Ngiri maji. -Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)

▪️Ngiri kavu (Hernia). -Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume

▪️ Ngiri ya kwenye kifua
- Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’

▪️ Ngiri ya tumbo
-hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’

▪️ Ngiri ya kwenye kitovu
-Hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”

▪️ Ngiri ya sehemu ya haja kubwa
-Hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’

SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA NGIRI ( KUJITOKEZA KWA ORGAN AMA TISSUE KUPITIA ENEO DHAIFU/TUNDU: 

Uzito kupita kiasi, Tumbo kujaa maji, Kujisaidia choo kigumu, Kunyanyua vitu vizito(Kufanya kazi ngumu), Ujauzito kwa wanawake, Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder), Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji, Umri Mkubwa, Uvutaji sigara, na Kurithi (vinasaba kubeba ugonjwa huu).

DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI

 Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

1Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2.Kupiga mingurumo tumboni.

3.Kujaa gesi tumboni.

4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5.Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7.Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8.Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9.Nuru ya macho hupotea taratibu.

10.Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11.Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12.Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13.Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14.Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto

15 .Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi 

16. Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17. Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.

18. Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19. Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1. Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2.Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3.Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo

4. Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

5.Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

6.Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

7.Upungufu wa nguvu za kiume hii hutokana na kulegea kwa misuli ya uume na kupelekea uume kuwa legelege

8.Kupata bawasiri kutokana na kupata choo kigumu (kuota kinyama sehemu ya haja kubwa)Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume.

SEHEMU AMBAZO NGIRI INAWEZA KUTOKEA NI;


I. Tumboni
II. Eneo la kinena
III. Eneo la paja kwa juu
IV. Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
V. Kifuani n.k



NGIRI ni hali yenye kusababisha maumivu makali sana na mara nyingi huhitaji tiba ya haraka zaidi hata hivo unaweza kuzuwia kupata tatizo hili katika siku za usoni, pamoja na kuyatibu maumivu yanayosababishwa na tatizo hili kwa njia za kiasili na kupona kabisa, kwani ni wengi walougua tatizo hili na wamepona, baada ya kupata tiba. Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote.


NGIRI SUGU ni dawa ya mimea iliyothibitika kutibu mshipa wa ngiri/Hernia bila upasuaji. Dawa 
hii haina madhara hasi(Negative effects) kwa mtumiaji.

WASILIANA Nami kwa Tiba na Maelezo Zaidi. 

Piga Simu namba: 0755162724 au 

 TUNAPATIKANA--ILALA BOMA MTAA WA PANGANI NA UTETE

Comments

Popular posts from this blog

NI KWA NAMNA GANI BACTERIA (H.pyori) Husababisha vidonda vya TUMBO

-Bacteria, Helicobacter pylori/Campilobacter pylori_* anaweza kusafiri kutoka kwa mtu Mmoja kwenda kwa mwingine kupitia njia zifuatazo: ⤵⤵⤵ (a).📎Kupitia mate (kunyonyana midomo) (b).📎Kupitia matapishi. (c).📎 Kupitia kinyesi (d).📎Kupitia chakula ama maji yaliyokuwa na bacteria hawa. SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MTU KUAMBUKIZWA BACTERIA HAWA_ (H.pylori) ⚫ Kuishi mazingira yenye mikusanyiko mkubwa wa watu bila kuchukua tahadhar. ⚫ Kunywa maji yasiyokuwa safi. ⚫ Kula vyakula visivyooshwa mfano matunda na Mboga za majani. ⚫ Kuishi karibu na mtu mwenye vidonda vya tumbo bila kuchukua tahadhar. H.pylori anapoingia katika mwili wa binadamu huathiri uzio mwenye kulinda ukuta wa tumbo na utumbo mdogo (protective mucous) hali hii hupelekea kudhoofika kwa kuta katika tumbo na utumbo mdogo. Ukuta huu unapodhoofika husababisha Tindikali (Asidi) inayozalishwa tumbo kuunguza na kuuchimba ukuta wa tumbo pia Bacteria hawa huchimba ukuta wa tumbo na KUSABABISHA kutokea vidonda katika ukuta wa tumbo...

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, CHANZO, DALILI NA TIBA YAKE ASILIA

Ufafanuzi wa jumla wa tatizo la nguvu za kiume na tiba yake​ Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni. Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka siku had I siku. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea ndio wanaosumbuliwa na tatizo hili kwa kiasi kikubwa. Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana. Kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza pia kuwa kumetokana na mambo ya kihisia, kwa kiingereza ‘emotional causes’. Vitu vingine vinavyoweza kusababi...

DAWA YA KUTIBU JINO UKIWA NYUMBANI

DAWA YA KUTIBU MENO KWA HARAKA NA UHAKIKA Dawa hii imeniponesha mm mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na jino la juu na ndipo nilipoamua kuandaa dawa hii na imenitibu kwa HARAKA na ufanisi wa Hall ya juu sana na bado sijapatapo kuona dawa nzuri kama hii,huna haja ya kung'oa meno yako baada ya kuifahamu dawa hii eti kwasababu yanauma Mahitaji 1.✍ Mafuta ya karafuu/clove oil. 2.✍ mafuta ya Nazi/coconut oil. 3.✍ Kitunguu maji. 4.✍ Kitunguu swaum. 5.✍ Pilipili manga. 6.Chumvi ya mawe/unga wake MAANDALIZI Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani MATUMIZI 1.ikiwa jino lina tundu chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma. 2.ikiwa jina halina tundu pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino...