Skip to main content

NI KWA NAMNA GANI BACTERIA (H.pyori) Husababisha vidonda vya TUMBO




-Bacteria, Helicobacter pylori/Campilobacter pylori_* anaweza kusafiri kutoka kwa mtu Mmoja kwenda kwa mwingine kupitia njia zifuatazo:
⤵⤵⤵

(a).📎Kupitia mate (kunyonyana midomo)
(b).📎Kupitia matapishi.
(c).📎 Kupitia kinyesi
(d).📎Kupitia chakula ama maji yaliyokuwa na bacteria hawa.

SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MTU KUAMBUKIZWA BACTERIA HAWA_ (H.pylori)

⚫ Kuishi mazingira yenye mikusanyiko mkubwa wa watu bila kuchukua tahadhar.
⚫ Kunywa maji yasiyokuwa safi.
⚫ Kula vyakula visivyooshwa mfano matunda na Mboga za majani.
⚫ Kuishi karibu na mtu mwenye vidonda vya tumbo bila kuchukua tahadhar.

H.pylori anapoingia katika mwili wa binadamu huathiri uzio mwenye kulinda ukuta wa tumbo na utumbo mdogo (protective mucous) hali hii hupelekea kudhoofika kwa kuta katika tumbo na utumbo mdogo. Ukuta huu unapodhoofika husababisha Tindikali (Asidi) inayozalishwa tumbo kuunguza na kuuchimba ukuta wa tumbo pia Bacteria hawa huchimba ukuta wa tumbo na KUSABABISHA kutokea vidonda katika ukuta wa tumbo na vidonda hivi ndivyo tunavyoviita vidonda vya TUMBO kwasababu vipo tumboni (Gastric Ulcers)

⚫ Bacteria huyu haathiriwi na Acid ya tumboni ( Hydrochloric acid~HCL) kwasababu ana uwezo wa kuzalisha kimeng`enya (Urease enzyeme) ambayo huungana na UREA kuzalisha AMMONIA ambayo huungana na Acid ya tumboni (HCL) kuzalisha Maji na AMMONIUM CHLORIDE ambayo haina uwezo wa kumuathiri huyu Bacteria. Hivyo bacteria huyu huzidi kujilinda kwa namna hii Mpaka hufikia hatua ukuta wa tumbo huchimbwa zaid na huyu Bacteria huzid kuingia ndan zaid ya tumbo ambapo acid hushindwa kumuathiri na hali hii husababisha vidonda vya TUMBO kuzid na KUSABABISHA mgonjwa kuwa na hali mbaya zaid.

⚫ Huyu Bacteria huathiri zaid kwa pamoja na Acid ya tumbo na hufikia hatua mgonjwa huweza kupata Kansa ya tumbo/Kansa ya Utumbo mdogo.



DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO 

KAMA UNASUMBULIWA NA 
🍂gesi na mingurumo
🍂kiungulia
🍂tumbo kuwaka moto
🍂kuchefuchefu
🍂mgongo ,kiuno, na maumivu 
🍂hofu na kukosa usingizi
🍂kukosa hamu ya kula
🍂ganzi 
🍂kupungukiwa nguvu za kijinsia
🍂Choo kukatika kama mbuzi 
🍂kuharisha na kukosa choo 
🍂vichomi na kuhara damu
🍂kutapika

Na umetumia dawa nyingi kwa muda mrefu bila matokeo chanya BASI SASA NI MWISHO WA MATATIZO HAYO

Mimi ni TABIBU LIWAYA kutoka LIWAYA HERBAL CLINIC ninawasaidia watu ambao wanasumbuliwa na vidonda vya
tumbo kwa kuwapatia ELIMU, USHAURI NA TIBA. Kwa
upande wa tiba yetu ni inatibu aina zote na hatua zote za
VIDONDA VYA TUMBO na ni dozi ya siku 27 tu baada ya
siku chache (5) ya kutumia tiba yetu utaweza kula kila kitu
bila matatizo yeyote.

TUNAPATIKANA - ILALA MTAA WA PANGANI NA UTETE, DSM
MAWASILIANO – 0755162726

NB:WAHI MATIBABU VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA KWA UWEZO WA MUNGU, MUHIMU KUTUMIA NA KUZINGATIA MAELEKEZO UTAKAYOPATIWA WAKATI UNATUMIA DAWA 

Naomba unipigie kwa msaada wa haraka. 0755162724


KARIBUNI.

Comments

Popular posts from this blog

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, CHANZO, DALILI NA TIBA YAKE ASILIA

Ufafanuzi wa jumla wa tatizo la nguvu za kiume na tiba yake​ Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni. Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka siku had I siku. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wengi wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea ndio wanaosumbuliwa na tatizo hili kwa kiasi kikubwa. Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana. Kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza pia kuwa kumetokana na mambo ya kihisia, kwa kiingereza ‘emotional causes’. Vitu vingine vinavyoweza kusababi...

DAWA YA KUTIBU JINO UKIWA NYUMBANI

DAWA YA KUTIBU MENO KWA HARAKA NA UHAKIKA Dawa hii imeniponesha mm mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na jino la juu na ndipo nilipoamua kuandaa dawa hii na imenitibu kwa HARAKA na ufanisi wa Hall ya juu sana na bado sijapatapo kuona dawa nzuri kama hii,huna haja ya kung'oa meno yako baada ya kuifahamu dawa hii eti kwasababu yanauma Mahitaji 1.✍ Mafuta ya karafuu/clove oil. 2.✍ mafuta ya Nazi/coconut oil. 3.✍ Kitunguu maji. 4.✍ Kitunguu swaum. 5.✍ Pilipili manga. 6.Chumvi ya mawe/unga wake MAANDALIZI Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani MATUMIZI 1.ikiwa jino lina tundu chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma. 2.ikiwa jina halina tundu pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino...