VYAKULA AMBAVYO NI VIZURI SANA KWENYE KUSAIDIA NA KUIMARISHA MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME NAFAKA ●Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone, pia huwezesha mtu kuwa na nguvu tele hatimaye kuongeza nguvu zake za kiume kutokana na virutubisho mwili unavyopata. ▪︎Vyakula vya nafaka vimesheheni nishati nyingi, nafaka zina nyuzinyuzi (fibres) na sukari ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. ▪︎Kula nafaka zisizokobolewa kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri kiafya zina saidia kutokupa mwili wa mafuta mengi, ▪︎ikumbukwe uwepo wa mafuta mabaya yana athiri mishipa ya damu ikiwamo ya uume. TANGAWIZI ●Tangawizi ni aina ya kiungo mizizi ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. ▪︎Mzunguko unapokuwa mzuri huwezesha damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi ikiwamo uume. ▪︎Tangawizi imekuwa ikitumika sana maeneo ya Asia kwa ajili ya wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume. ▪︎P...
Tuna wasaidia wahanga wa magonjwa mbalimbali kupona magonjwa yao kwa kutumia tiba asilia pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu.